• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Mrejesho |
    • Lalamika |
Musoma Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Musoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
      • Wasifu wa Kijamii na Kiuchumi wa Halmashauri
      • Viongozi wetu
        • Mayors
        • Municipal Directors
    • Dira na Dhamira
    • Maadili yetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Rasilimali Watu na Utawala
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Mipango, Uchumi na Takwimu
      • Idara ya Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Mipango Miji na Ardhi
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Ujenzi
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Usafishaji na Mazingira
    • Vitengo
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Ununuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ufugaji Nyuki
      • Kitengo cha Teknolojia, Habari, Mawasiliano na Uhusiano
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Maeneo ya Viwanda
    • Usafirishaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
    • Huduma za maji
    • Maombi ya Huduma
    • Uthibi wa Mazingira
    • Uthibiti wa Misitu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Uongozi
      • Kamati ya Elimu, Afya na Huduma za Uchumi
      • Kamati ya Mipango Miji na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Kamati ya Maadili ya Madiwani
    • Ratiba ya vikao
  • Miradi
    • Miradi inayopendekezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Taarifa
    • Mpango wa Matumizi Bora ya Ardhi
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mwongozo wa kushughulikia Malalamiko
    • Fomu
    • Mpango Mkakati
    • Wasifu wa Kijamii na Kiuchumi wa Halmashauri
    • Miongozo na Nyaraka
    • Sheria ndogo
    • Majarida
    • Council Budget
      • New menu item
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Video
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa umma
    • Hotuba
    • Makala

Manispaa ya Musoma kujielekeza kuinua Elimu, uchumi kwa wakazi wake

Imewekwa: February 12th, 2021

Manispaa ya Musoma kujielekeza kuinua Elimu, Uchumi kwa wakazi wake

Halmashauri ya Manispaa ya Musoma imeshauriwa kuweka kipaumbele katika sekta ya elimu kwa kuimarisha miundombinu ya elimu kama ujenzi wa madarasa, utengenezaji wa madawati pamoja na walimu.

Mbunge wa jimbo la Musoma Mhe. Vedastus Manyinyi Mathayo ameliambia baraza kuwa ni wakati sasa Halmashauri kufikiri kwa kina namna ya kutatua changamoto zinazokabili sekta ya elimu katika Manispaa ya Musoma.

Mhe. Mathayo pia ametoa rai kwa madiwani wakishirikiana na wataalamu kubuni namna nzuri ya kuinua kipato cha wakazi wa Musoma kwa kujenga mazingira wezeshi yatakayochochea ukuaji wa shughuli za uchumi na kuwaletea Wananchi ahueni.

“Musoma tumejaliwa kuwa na ziwa Victoria, ni muhimu kufikiria matumizi sahihi ya ziwa kwa kutengeneza mkakati wa kuboresha shughuli za uvuvi, “ alisema Mhe. Mathayo.

Aidha, Mhe. Mathayo alisema suluhu ya kuongeza mzunguko wa fedha katika Manispaa ya Musoma ni kuongeza eneo la utawala mkakati ambao unaendelea kushughulikiwa na mamlaka nyingine za serikali.

Kwa upande wake Mstahiki Meya wa Manispaa Mhe. William Gumbo amesisitiza umuhimu wa idara mbalimbali kuanza kutafuta namna bora ya kuongeza tija katika shughuli zao.

Mhe. Gumbo amesema “ Idara ya maendeleo ya jamii kuanzia sasa itumike katika utoaji elimu katika miradi na mipango mbalimbali ya jamii, vilevile idara yak limo itafute maeneo ya kilimo na kuhamasisha vijana kujihusisha na uzalishaji wa mazao yenye tija”.

Baraza la madiwani limekamilisha mkutano wake wa robo ya pili kwa kujadili na kupitisha taarifa za utendaji za kamati za kudumu pamoja na maazimio mbalimbali kutoka serikali kuu.

Matangazo

  • Tangazo la Watumishi ajira Mpya July 05, 2022
  • Tangazo la nafasi za kazi May 24, 2022
  • TANGAZO LA AJIRA YA MUDA March 15, 2022
  • TANGAZO LA ZABUNI ZA UJENZI-TARURA November 10, 2017
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Wananchi wahimizwa kushiriki kikamilifu Sensa ya watu na makazi

    June 04, 2022
  • Wananchi Musoma Kufikiwa na huduma ya Maji kwa asilimia 100

    May 26, 2022
  • DC ahimiza Ushirikiano Anuani za Makazi

    March 07, 2022
  • Manispaa ya Musoma kujielekeza kuinua Elimu, uchumi kwa wakazi wake

    February 12, 2021
  • Tazama zote

Video

Hotuba ya aliyekuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Mara
Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Sisi ni nani
  • Dira na Dhamira

Viunganishi Linganifu

  • IKULU
  • Public Service Management
  • TAMISEMI
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Waliotembelea

free HitCounter

Ramani

Wasiliana Nasi

    Musoma Municipal Council

    Sanduku la Posta: Box 194 Musoma

    Simu: 0282622560

    Simu ya Mkononi: +255755215348

    Barua pepe: info@musomamc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2017 GWF . All rights reserved.