• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Mrejesho |
    • Lalamika |
Musoma Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Musoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
      • Wasifu wa Kijamii na Kiuchumi wa Halmashauri
      • Viongozi wetu
        • Mayors
        • Municipal Directors
    • Dira na Dhamira
    • Maadili yetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Rasilimali Watu na Utawala
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Mipango, Uchumi na Takwimu
      • Idara ya Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Mipango Miji na Ardhi
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Ujenzi
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Usafishaji na Mazingira
    • Vitengo
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Ununuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ufugaji Nyuki
      • Kitengo cha Teknolojia, Habari, Mawasiliano na Uhusiano
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Maeneo ya Viwanda
    • Usafirishaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
    • Huduma za maji
    • Maombi ya Huduma
    • Uthibi wa Mazingira
    • Uthibiti wa Misitu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Uongozi
      • Kamati ya Elimu, Afya na Huduma za Uchumi
      • Kamati ya Mipango Miji na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Kamati ya Maadili ya Madiwani
    • Ratiba ya vikao
  • Miradi
    • Miradi inayopendekezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Taarifa
    • Mpango wa Matumizi Bora ya Ardhi
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mwongozo wa kushughulikia Malalamiko
    • Fomu
    • Mpango Mkakati
    • Wasifu wa Kijamii na Kiuchumi wa Halmashauri
    • Miongozo na Nyaraka
    • Sheria ndogo
    • Majarida
    • Council Budget
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Video
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa umma
    • Hotuba
    • Makala

Page Title here

Kamati ya Mipango Miji na Mazingira

Kamati ya Mipango Miji na Mazingira inaundwa na jumla ya wajumbe tisa (9). Kamati hii inashughulikia masuala ya uzalishaji mali ikiwemo kilimo,mifugo,viwanda,madini, biashara n.k. Aidha, inashughulikia pia miundombinu na suala zima la maendeleo ya ardhi na hifadhi ya mazingira.

Wajumbe wanaounda kamati hii ni:-

  1. Mhe. Charles Mwita Wambura                  - Mwenyekiti
  2. Mhe. William Patrick Gumbo                     - Kata ya Bweri  
  3. Mhe. Vedastus M. Mathayo                       - Kata ya Kitaji
  4. Mhe. Joseph Kisunda Tikina                      - Kata ya Nyakato
  5. Mhe. Asha Mohamed Swalehe                  - Diwani Viti Maalum
  6. Mhe. Fredrick Charles Mganga                  -Kata ya Kwangwa
  7. Mhe. Abbas Mohamed Chamba                 -Kata ya Mukendo
  8. Mhe. Dickson Michael Mwandara               -Kata ya Bweri
  9. Mhe. Masumbuko Samsonite Magessa      -Kata ya Nyamatare
  10. Mhe. Amina  Shaban Masisa                      - Diwani Viti Maalum

Majukumu maalum ya kamati

  1. Kupendekeza mipango ya matumizi ya ardhi katika eneo la Halmashauri.
  2. Kusimamia na kuhakiki miradi ya ujenzi wa masoko,minada,majosho na vituo vya mifugo.
  3. Kusimamia na kuhakiki maeneo ya misitu, mapori, na mbuga zilizotengwa kama hifadhi ya mamlaka ya serikali za Mitaa.
  4. Kupendekeza na kufanya tathmini ya uendelezaji wa mabonde, mito na mabwawa.
  5. Kubuni na kupendekeza namna ya kuthibiti moto.
  6. Kubuni na kupendekeza mikakati ya utumiaji wa nishati mbadala,kuzuia ukatiji miti ovyo, na kuhimizi upandaji miti kwa wingi.
  7. Kuhakikisha kwamba ukaguzi wa majengo unafanyika mara kwa mara.
  8. Kupendekeza sheria ndogo za kamati hii.
  9. Kupendekeza mipango madhubuti ya ujenzi wa barabara Mitaani na Manispaa kwa ujumla.

Matangazo

  • Tangazo la matokeo ya zabuni ya ujenzi wa barabara za lami Mjini February 17, 2017
  • mikataba ya zabuni iliyotolewa kwa mwaka wa fedha 2015-2016 na 2016-2017 August 01, 2017
  • Matokeo ya Ununuzi wa Gari la Taka September 12, 2017
  • Tangazo la Zabuni za Mapato September 12, 2017
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Naridhika na Utendaji wenu - Meya

    February 15, 2021
  • Mkuu wa Wilaya asisitiza Chakuka Mashuleni

    February 12, 2021
  • Manispaa ya Musoma yapata Meya Mpya

    December 14, 2020
  • Uzinduzi wa Baraza la Madiwani

    December 14, 2020
  • Tazama zote

Video

Hotuba ya aliyekuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Mara
Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Sisi ni nani
  • Dira na Dhamira

Viunganishi Linganifu

  • IKULU
  • Public Service Management
  • TAMISEMI
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Waliotembelea

free HitCounter

Ramani

Wasiliana Nasi

    Musoma Municipal Council

    Sanduku la Posta: Box 194 Musoma

    Simu: 0282622560

    Simu ya Mkononi: +255755215348

    Barua pepe: info@musomamc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2017 GWF . All rights reserved.