• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Mrejesho |
    • Lalamika |
Musoma Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Musoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
      • Wasifu wa Kijamii na Kiuchumi wa Halmashauri
      • Viongozi wetu
        • Mayors
        • Municipal Directors
    • Dira na Dhamira
    • Maadili yetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Rasilimali Watu na Utawala
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Mipango, Uchumi na Takwimu
      • Idara ya Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Mipango Miji na Ardhi
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Ujenzi
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Usafishaji na Mazingira
    • Vitengo
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Ununuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ufugaji Nyuki
      • Kitengo cha Teknolojia, Habari, Mawasiliano na Uhusiano
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Maeneo ya Viwanda
    • Usafirishaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
    • Huduma za maji
    • Maombi ya Huduma
    • Uthibi wa Mazingira
    • Uthibiti wa Misitu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Uongozi
      • Kamati ya Elimu, Afya na Huduma za Uchumi
      • Kamati ya Mipango Miji na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Kamati ya Maadili ya Madiwani
    • Ratiba ya vikao
  • Miradi
    • Miradi inayopendekezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Taarifa
    • Mpango wa Matumizi Bora ya Ardhi
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mwongozo wa kushughulikia Malalamiko
    • Fomu
    • Mpango Mkakati
    • Wasifu wa Kijamii na Kiuchumi wa Halmashauri
    • Miongozo na Nyaraka
    • Sheria ndogo
    • Majarida
    • Council Budget
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Video
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa umma
    • Hotuba
    • Makala

Magufuli Aikumbuka shule aliyosoma Hayati Baba wa Taifa

Imewekwa: September 6th, 2018

Magufuli aikumbuka shule Aliyosoma Hayati Baba wa Taifa

Rais Dr. John Pombe Magufuli amesikitishwa na hali ya miundombinu ya shule ya msingi Mwisenge aliyosoma baba wa Taifa Mwl. Julius Nyerere.

Akiwa katika ziara yake Manispaa ya Musoma Rais alipata fursa ya kutembelea shule hiyo ambayo Baba wa Taifa Mwl J.K.Nyerere alisoma.

Kutokana na kutoridhishwa na miundombinu ya shule hiyo yenye historia kubwa katika nchi yetu. Rais amewaahidi  wana Mara  kuifanyia  ukarabati  shule hiyo ili iweze kutumika kama kituo cha kihistoria.

Aidha Rais Magufuli ameahidi kutoa Milioni 20 katika shule hiyo ndani ya wiki mbili ili kuanza ukarabati wa bweni moja la kulala kwa wanafunzi wenye mahitaji maalum.

Pia akiwa shuleni hapo Rais  ametoa shilingi Milioni 1 kwa ajili ya tafrija ya Wanafunzi wa shule hiyo kuonyesha mapenzi aliyonayo kwao.

Rais Magufuli ametoa rai kwa Viongozi wa Mkoa wa Mara juu ya usimamizi wa shule hiyo kwani ni eneo muhimu la kihistoria.

“Natambua  umuhimu wa shule hii kwa historia ya nchi yetu, ni vyeam tuitengenezee mazingira mazuri ili kumuenzi baba wa Taifa”. Alisema.

Aliongeza kuwa “Ni jukumu la wana Mara na Taifa kwa ujumla kutambua  na kutunza maeneo ya kihistoria  ili kuendelea kuwaenzi Mashujaa wa Taifa letu.” Alisisitiza.

Rais yupo mkoani Mara kwa ziara ya siku nne ambapo anatarajiwa kutembelea wilaya zote za mkoa wa Mara.

Matangazo

  • Tangazo la matokeo ya zabuni ya ujenzi wa barabara za lami Mjini February 17, 2017
  • mikataba ya zabuni iliyotolewa kwa mwaka wa fedha 2015-2016 na 2016-2017 August 01, 2017
  • Matokeo ya Ununuzi wa Gari la Taka September 12, 2017
  • Tangazo la Zabuni za Mapato September 12, 2017
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Naridhika na Utendaji wenu - Meya

    February 15, 2021
  • Mkuu wa Wilaya asisitiza Chakuka Mashuleni

    February 12, 2021
  • Manispaa ya Musoma yapata Meya Mpya

    December 14, 2020
  • Uzinduzi wa Baraza la Madiwani

    December 14, 2020
  • Tazama zote

Video

Hotuba ya aliyekuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Mara
Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Sisi ni nani
  • Dira na Dhamira

Viunganishi Linganifu

  • IKULU
  • Public Service Management
  • TAMISEMI
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Waliotembelea

free HitCounter

Ramani

Wasiliana Nasi

    Musoma Municipal Council

    Sanduku la Posta: Box 194 Musoma

    Simu: 0282622560

    Simu ya Mkononi: +255755215348

    Barua pepe: info@musomamc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2017 GWF . All rights reserved.