• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Mrejesho |
    • Lalamika |
Musoma Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Musoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
      • Wasifu wa Kijamii na Kiuchumi wa Halmashauri
      • Viongozi wetu
        • Mayors
        • Municipal Directors
    • Dira na Dhamira
    • Maadili yetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Rasilimali Watu na Utawala
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Mipango, Uchumi na Takwimu
      • Idara ya Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Mipango Miji na Ardhi
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Ujenzi
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Usafishaji na Mazingira
    • Vitengo
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Ununuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ufugaji Nyuki
      • Kitengo cha Teknolojia, Habari, Mawasiliano na Uhusiano
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Maeneo ya Viwanda
    • Usafirishaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
    • Huduma za maji
    • Maombi ya Huduma
    • Uthibi wa Mazingira
    • Uthibiti wa Misitu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Uongozi
      • Kamati ya Elimu, Afya na Huduma za Uchumi
      • Kamati ya Mipango Miji na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Kamati ya Maadili ya Madiwani
    • Ratiba ya vikao
  • Miradi
    • Miradi inayopendekezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Taarifa
    • Mpango wa Matumizi Bora ya Ardhi
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mwongozo wa kushughulikia Malalamiko
    • Fomu
    • Mpango Mkakati
    • Wasifu wa Kijamii na Kiuchumi wa Halmashauri
    • Miongozo na Nyaraka
    • Sheria ndogo
    • Majarida
    • Council Budget
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Video
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa umma
    • Hotuba
    • Makala

Page Title here


Kamati ya Fedha na Utawala

Kamati ya Fedha na Utawala inaundwa na jumla ya wajumbe  kumi (10).Kamati hii ya Fedha na Utawala inatekeleza majukumu yake kama zilivyo kamati nyingine za kudumu.Kwa ujumla, majukumu yake ni pamoja na kusimamia na kudhibiti ukusanyaji wa mapato na matumizi ya mali za Halmashauri kwa kupitia vikao vyake.

 

Orodha ya wajumbe wa kamati ya fedha na Utawala

  1. Mhe. Gumbo William Patrick                      - Meya
  2. Mhe. Haji Mugeta Mtete                             - Naibu Meya
  3. Mhe. Vedastus Mathayo Manyinyi              - Mbunge
  4. Mhe. David Cosmas Regu                          - Kata ya Kamunyonge
  5. Mhe. Charles Mwita Wambura                    - Kata ya Mshikamano
  6. Mhe. Juma Hamis Idd                                 - Kata ya Nyamatare
  7. Mhe. Golden Marcus Charles                     - Kata ya Buhare
  8. Mhe. Erieth Godwin Kumila                        - Diwani Viti Maalum
  9. Mhe.Naima Minga Samson                         - Diwani Viti Maalum
  10. Merysiana Masungulwa Masasi                  - Diwani viti Maalum


Majukumu Maalum ya Kamati: 

  1. Kuweka mikakati na kupendekeza uongezaji wa mapato.
  2. Kuwasilisha mapendekezo ya Bajeti na mpango wa maendeleo. kwenye Halmashauri ili kuidhinishwa na Halmashauri.
  3. Kusimamia utunzaji wa hesabu za fedha ikiwa ni pamoja na uhakiki wa mali za halmashauri, ukusanyaji wa mapato, kufuta madeni,na kuomba vibali maalum kwa matumizi yanayohitaji kibali cha waziri mwenye dhamana ya Serikali za Mitaa.
  4. Kufikiria na pale inapowezekana, kupendekeza kwenye Halmashauri masuala yanayohusu sheria ndogo na utendaji katika ngazi za chini za Halmashauri.
  5. Kupokea na kuzingatia mapendekezo kutoka kwenye kamati zingine kuhusu matumizi ya kawaida na miradi na kuyawasilisha kwenye Halmashauri.
  6. Kutoa mapendekezo ya vitega uchumi kwa madhumuni ya kuongeza mapato kwa mujibu wa sheria ya Fedha za Serikali za Mitaa, sura ya 290.
  7. Kupokea na kujadili taarifa za wakaguzi wa fedha na mali ya Halmashauri na kupendekeza hatua za kuchukuliwa kutokana na maelekezo na maoni ya wakaguzi kwa mujibu wa Sheria za Serikali za Mitaa, sura ya 290.
  8. Kusimamia na kuthibiti matumizi ya  fedha za Halmashauri, kwa kuzingatia taratibu zilizowekwa na waziri na taratibu nyingine zitakazowekwa na Halmashauri.
  9. Kupitia merekebisho yote yaliyopendekezwa hususan kuhusu taratibu za fedha, ikiwa ni pamoja na mapitio ya mara kwa mara yanayohusu thamani ya fedha amabapo kanuni mbalimbali za ununuzi wa mali na vifaa hutumika.
  10. Kufikilia na kupendekeza mabadiliko ya viwango vya kodi, ada na ushuru mbalimbali, vinavyotolewa na Halmashauri.
  11. Kufikiria mapendekezo ya bajeti na mipango ya maendeleo ya kila kamati ya kudumu na kuwasilisha kwenye Halmashauri ili kupata idhini.
  12. Kushughulikia tofauti ya mapato na matumizi katika bajeti yote na kupendekeza hatua stahiki ya kuchukua kuondoa mapungufu katika mapato au ziada matumizi.
  13. Kufukiria mapendekezo yote yanayohusu matumizi makubwa ya fedha kabla hayajawasilishwa kwenye halmashauri ili kupata idhini.
  14. Kupokea mahesabu ya mwaka ya Halmashauri na kuhakikisha taarifa ya mahesabu ya mwaka inawasilishwa kwa wakati kwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali.
  15. Kupitia na kuidhinisha mpango wa ununuzi wa Halmashauri kwa kukagua miradi inayotekelezwa na vifaa vilivyopokelewa.
  16. Kumwelekeza Mkurugenzi kufanya ununuzi au ukaguzi wa huduma au vifaa vilivyonunuliwa ili kupata thamani halisi, itafanyika hivyo endapo itadhihirika kwamba, maelezo yaliyotolewa kuhusu ununuzi wa vifaa au huduma hayaridhishi.
  17. Kupitia taarifa ya kila robo mwaka kuhusu ununuzi iliyowasilishwa na Afisa Masuuli.
  18. Kusimamia utekelezaji wa mikataba ya Halmashauri kwa kukagua miradi inayotekelezwa na vifaa vilivyopokelewa.Zaidi

Matangazo

  • Tangazo la matokeo ya zabuni ya ujenzi wa barabara za lami Mjini February 17, 2017
  • mikataba ya zabuni iliyotolewa kwa mwaka wa fedha 2015-2016 na 2016-2017 August 01, 2017
  • Matokeo ya Ununuzi wa Gari la Taka September 12, 2017
  • Tangazo la Zabuni za Mapato September 12, 2017
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Naridhika na Utendaji wenu - Meya

    February 15, 2021
  • Mkuu wa Wilaya asisitiza Chakuka Mashuleni

    February 12, 2021
  • Manispaa ya Musoma yapata Meya Mpya

    December 14, 2020
  • Uzinduzi wa Baraza la Madiwani

    December 14, 2020
  • Tazama zote

Video

Hotuba ya aliyekuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Mara
Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Sisi ni nani
  • Dira na Dhamira

Viunganishi Linganifu

  • IKULU
  • Public Service Management
  • TAMISEMI
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Waliotembelea

free HitCounter

Ramani

Wasiliana Nasi

    Musoma Municipal Council

    Sanduku la Posta: Box 194 Musoma

    Simu: 0282622560

    Simu ya Mkononi: +255755215348

    Barua pepe: info@musomamc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2017 GWF . All rights reserved.